BUKOBA SPORTS

Thursday, November 29, 2012

ENGLISH PREMIER LEAGUE: MANCHESTER UNITED YAZIDI KUKAA KILELENI, CITY WAUWA, CHELSEA WASIMAMISHWA TENA, ARSENAL WAKWAMA. LIVERPOOL NAO WACHECHEMEA. MATOKEO YA MECHI ZA JANA EPL.

Mechi  za Ligi Kuu England, BPL (Barclays Premier League), Ziliendelea tena  jana Jumatano Usiku na Bao la Sekunde ya 31 la Robin van Persie limeendelea kuwaweka Manchester United kileleni mwa Ligi wakiwa Pointi 1 mbele ya Man City walioichapa Wigan 2-0 lakini sare ya Chelsea na Fulham imewabakisha Chelsea nafasi ya 3 na kuwafanya wawe Pointi 7 nyuma ya vinara Man United. Van Persie akitupia goli la kwanza la sekunde chache.

MATOKEO:
Jumatano Novemba 28
Chelsea 0 Fulham 0
Everton 1 Arsenal 1
Southampton 1 Norwich 1
Stoke 2 Newcastle 1
Swansea 3 West Brom 1
Tottenham 2 Liverpool 1
Wigan 0 Man City 2
Man United 1 West Ham 0

WIGAN 0 vs MAN CITY 2
Hadi Haftaimu Bao zilikuwa 0-0 lakini Bao mbili zilizofungwa na Mario Balotelli na James Milner katika Dakika za 69 na 72 ziliwapa ushindi Man City na kuwabakiza nafasi ya pili Pointi 1 nyuma ya Man United.
VIKOSI:
Wigan: Al Habsi, Stam, Boyce, Lopez, Figueroa, McCarthy, Jones, Gomez, Kone, Beausejour, Di Santo. Subs: Pollitt, McManaman, McArthur, Boselli, Fyvie, Golobart, Redmond.

Man City: Hart, Maicon, Kompany, Nastasic, Zabaleta, Javi Garcia, Toure, Silva, Barry, Aguero, Balotelli. Subs: Pantilimon, Toure, Kolarov, Milner, Sinclair, Tevez, Dzeko.
Refa: Mark Halsey

MAN UNITED 1 WEST HAM 0
Bao la Sekunde ya 31 tangu mpira uanze la Robin van Persie baada ya pande la Michael Carrick limewapa Man United ushindi wa Bao 1-0 na kuwabakisha kileleni mwa Ligi.
VIKOSI:
Man United: Lindegaard, Da Silva, Smalling, Evans, Evra, Carrick, Anderson, Cleverley, Rooney, van Persie, Hernandez
Akiba: De Gea, Jones, Ferdinand, Young, Welbeck, Fletcher, Buttner.

West Ham: Jaaskelainen, Demel, Reid, Collins, O'Brien, Taylor, Diame, Tomkins, Jarvis, Nolan, Carroll
Akiba: Spiegel, Cole, Maiga, Spence, O'Neil, Moncur, Lletget.
Refa: Mike Jones

TOTTENHAM 2 LIVERPOOL 1

Uwanjani White Hart Lane, Aaron Lennon na Gareth Bale walipachika Bao kwa Tottenham lakini pia Bale alijifunga mwenyewe na Mechi kwisha 2-1 kwa ushindi kwa Tottenham.

VIKOSI:
Tottenham: Lloris, Walker, Gallas, Dawson, Vertonghen, Lennon, Sandro, Dembele, Bale, Dempsey, Defoe
Akiba: Friedel, Huddlestone, Naughton, Sigurdsson, Livermore, Townsend, Carroll.
Liverpool: Reina, Johnson, Agger, Skrtel, Downing, Allen, Henderson, Gerrard, Jose Enrique, Sterling, Suarez
Akiba: Jones, Sahin, Assaidi, Carragher, Fernandez Saez, Shelvey, Wisdom.
Refa: Phil Dowd 


STOKE 2 NEWCASTLE 1
Newcastle walitangulia kufunga kwa Bao la Papiss Cisse katika Dakika ya 47 lakini Bao za Walters na Jerome za Dakika ya 81 na 85 ziliwainua kidedea Stoke City kwa Bao 2-1.

VIKOSI:
Stoke: Begovic, Shotton, Huth, Shawcross, Cameron, Walters, Nzonzi, Whelan, Etherington, Adam, Crouch
Akiba: Sorensen, Palacios, Jones, Whitehead, Upson, Kightly, Jerome.
Newcastle: Krul, Simpson, Coloccini, Williamson, Santon, Anita, Perch, Tiote, Gutierrez, Ba, Cisse
Akiba: Elliot, Bigirimana, Marveaux, Sammy Ameobi, Ranger, Ferguson, Tavernier.
Refa: Howard Webb 

 
SWANSEA 3 WEST BROM 1
Swansea wameifunga WBA Bao 3-1 kwa Bao za Michu na mbili za Routledge huku bao la WBA likifungwa na Romelu Lukaku.

VIKOSI:
Swansea: Tremmel, Rangel, Williams, Chico, Davies, Britton, Hernandez, Ki, Dyer, Routledge, Michu
Akiba: Cornell, Monk, Shechter, Moore, de Guzman, Tiendalli, Agustien.
West Brom: Myhill, McAuley, Olsson, Ridgewell, Jones, Yacob, Morrison, Mulumbu, Brunt, Odemwingie, Lukaku
Akiba: Daniels, Popov, Rosenberg, Long, Dorrans, Tamas, Fortune.
Refa: Lee Mason 


CHELSEA 0 FULHAM 0
Hii ni Mechi ya pili mfululizo kwa Meneja mpya wa Chelsea Rafael Benitez kutoka 0-0.

VIKOSI:
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Luiz, Cole, Romeu, Ramires, Hazard, Oscar, Bertrand, Torres
Akiba: Turnbull, Mata, Mikel, Moses, Ferreira, Marin, Cahill.
Fulham: Schwarzer, Riether, Senderos, Hughes, Riise, Duff, Diarra, Sidwell, Karagounis, Rodallega, Berbatov
Akiba: Etheridge, Kelly, Baird, Kasami, Petric, Frei, Dejagah.
Refa: Anthony Taylor



EVERTON 1 ARSENAL 1
Uwanjani Goodison Park, Arsenal walitangulia kwa bao la mapema la Theo Walcott aliefunga katika Sekunde ya 50 tu tangu Mechi ianze lakini Marouane Fellaini akaisawazishia Everton.wachezaji wa Everton wakimpongeza Fellaini baada ya kupatia goli timu yaoTheo Walcott (katikati) akiipatia Arsenal goli ndani ya sekunde 52

Sagna akifanya majambo na Nikica Jelavic usiku..
VIKOSI:
Everton: Howard, Hibbert, Jagielka, Distin, Baines, Naismith, Gibson, Osman, Pienaar, Fellaini, Jelavic
Akiba: Mucha, Heitinga, Oviedo, Hitzlsperger, Gueye, Barkley, Vellios.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Vermaelen, Walcott, Ramsey, Arteta, Wilshere, Cazorla, Girou
Akiba: Mannone, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Coquelin, Jenkinson, Gervinho, Gibbs.
Refa: Michael Oliver 



SOUTHAMPTON 1 Vs  NORWICH 1
VIKOSI:
Southampton: Gazzaniga, Clyne, Yoshida, Fonte, Shaw, Puncheon, Schneiderlin, Cork, Lallana, Lambert, Ramirez
Akiba: Kelvin Davis, Hooiveld, Steven Davis, Rodriguez, Do Prado, Mayuka, Reeves.
Norwich: Bunn, Whittaker, Ryan Bennett, Bassong, Garrido, Snodgrass, Johnson, Tettey, Pilkington, Hoolahan, Holt
Akiba: Rudd, Martin, Howson, Jackson, Morison, Elliott Bennett, Barnett.
Refa: Mark Clattenburg




RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi 1 Desemba 2012
(SAA 9 Dak 45 Mchana)
West Ham vs Chelsea
[SAA 12 Jioni]
Arsenal vs Swansea
Fulham vs Tottenham
Liverpool vs Southampton
Man City vs Everton
QPR vs Aston Villa
West Brom vs Stoke
[SAA 2 Dak 30 Usiku]
Reading vs Man United
 

Jumapili Desemba 2
[SAA 1 Usiku]
Norwich vs Sunderland
Jumatatu Desemba 3
[SAA 5 Usiku]
Newcastle vs Wigan

No comments:

Post a Comment