BUKOBA SPORTS

Sunday, November 11, 2012

ENGLISH PREMIER LEAGUE: MANCHESTER CITY 2 vs TOTTENHAM SPURS 1

Leo, kwenye mfululizo wa Mechi za Ligi Kuu England, EPL, zipo Mechi 3 lakini mbili ndio zipo kwenye midomo ya Wadau wengi wa Soka, zile za Manchester City v Tottenham Hotspur na Chelsea v Liverpool, hasa kwa vile zinahusisha Timu vigogo na pia kutaka kujua kama Chelsea na City wanaweza kuikaribia Manchester
United ambao ndio vinara na jana walipiga hatua zaidi mbele baada ya kuibonda Aston Villa 3-2 na kuwafanya waongoze Ligi wakiwa Pointi 4 mbele ya Chelsea walio nafasi ya pili na Pointi 5 mbele ya City walio nafasi ya 3.Steven Caulker Akiipatia Spurs goli dakika ya 21

Dk ya 21 Steven Caulker akitupia goli la kwanza la Spurs kwa kichwa. Mario Balotelli akitazama mtanange
Howler: Hart allowed Caulker's header to slip through his grasp Goli

Salvation: City were made to labour for their equaliserMancini 
Salvation: City were made to labour for their equaliserAguero akishangilia kwa kupongezana na wenzake baada ya kufunga goli dakika ya 65

Taking a tumble: Adebayor returned to his former club but failed to get on the scoresheet
 Adebayorakitupwa nyuma ya kipa wa Man City

RATIBA/MATOKEO
Jumapili, Novemba 11
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Manchester City 2 vs 1 Tottenham Hotspur
[SAA 12 Jioni]
Newcastle United v West Ham United
[SAA 1 Usiku]
Chelsea v Liverpool


MSIMAMO TATU ZA JUU
1. Man United Mechi 11 Pointi 27
2. Man City  Mechi 10 Pointi 25
3. Chelsea Mechi 10 Pointi 23

VIKOSI:
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic (Maicon 56), Clichy, Toure, Barry, Silva, Tevez (Dzeko 73), Kolarov, Aguero.
Subs: Pantilimon, Maicon, Dzeko, Sinclair, Javi Garcia, Toure, Razak.
Booked: Zabaleta
Goals: Aguero 65, Dzeko 88.
Tottenham: Friedel, Walker (Dawson 78), Gallas, Caulker, Vertonghen, Sandro, Huddlestone, Lennon (Naughton 87), Bale, Dempsey, Adebayor (Defoe 80).
Subs: Lloris, Naughton, Defoe, Dawson, Sigurdsson, Livermore, Carroll.
Booked: Walker, Adebayor.
Goal: Caulker 21.
Referee: Michael Oliver (Northumberland)

No comments:

Post a Comment