BUKOBA SPORTS

Monday, November 5, 2012

HATIMAYE MSHINDI WA REDD'S MISS TANZANIA 2012 APATIKANA NI BRIDGIT ALFRED


Redd's Miss Tanzania 2012,Bridgit Alfred (katakati) akiwa na mshindi wa Pili,Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu,Edda Sylvester (kulia) mara baada ya kutangazwa mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2012 iliyomalizika jana katika ukumbi wa hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
BRIGITER ALFRED Miss Tanzania 2012
Brigitte Alfred akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi na kuwabwaga washiriki wenzake 29.
Brigitte Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael Tano bora

Washereheshaji katika Onyesho la kumsaka Mlimbwende wa Redd's Miss Tanzania 2012 jana ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Taji Liundi na Kulia ni Jokate Mwegelo.


Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakionyesha show yao mbele ya Watanzania katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam,jana.

Warembo wakipita katika jukwaani na Mavazi ya Ubunifu.

Burudani ya Ngoma za Asili kutoka kwa Kundi la Wanne Star.
Wadau wa Miss Tanzania wakibadilishana Mawazo.
Wanahabari kazini.

Wadau kibao ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam jana.


Watu kibao ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment