BUKOBA SPORTS

Monday, November 5, 2012

EXCLUSIVE: AMIR MAFTAH WA SIMBA AFUNGA NDOA


Mke wa Amir Maftah beki wa kushoto wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania.

Wanameremeta... Amir na Mkewe baada ya kufunga ndoa



Amir Maftah na mkewe wakipata picha ya ukumbusho na Mboni Masimba Kim K - mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show

No comments:

Post a Comment