BUKOBA SPORTS

Sunday, November 4, 2012

LIGI KUU VODACOM: KAGERA SUGAR 2 - 0 PRISON, UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA - PRISON WAKATISHWA MIWA LEO

Lango kuu la KAITABA Stadium.
Kocha mkuu wa Timu ya Kagera Sugar

Timu zikianza kuingia uwanjani baada ya muda kufika
wachezaji wa Kagera Sugar wakisalimiana na Marefa
Timu zikisalimiana


Timu zikiendelea kusalimiana

Marefa wa Mtanage wa Leo

Kikosi cha Prison cha Mbeya
Kikosi cha Kagera SugarBechi la Kagera Sugar na MakochaBenchi la Prison ya Mbeya


wadau mbali mbali kaitaba

Mchezaji ua Kagera Sugar aliumia hapa na kulia ni kocha akitoa maelekezo
Mtanange ukiendelea

Meza kuu
Afisa Elimu wa pili kutoka kulia

Wapenzi wa soka

Wadau

Mtanange ukiendelea

Taswira ya Uwanja wa Kaitaba

Bukobasports.com wakitafuta picha zilizotulia leo hii na hapa ni mdau Faustine

Kipindi cha pili kikitaka kuanza baada ya mapunziko

Kagera Sugar wakifanya mabadiliko


Wadau wa soka jukwaa kuu

Dadaz wakifatilia mtanange


Mpaka dakika 90 zinaisha kagera sugar walikuwa wakiongoza 2-0

Mpira umeisha

Namuona Abd(kulia) kutoka Kasibante FM akizungumza na kocha mkuu wa Prison (kushoto)

Kocha wa Kagera Sugar akiongea na ABD



MSIMAMO ULIVYO KWA SASA VPL
Pos   Team Pld W T L GoalsDiff Pts
1 Yanga 12 8 2 2 23 - 1013 26
2 Simba 12 6 5 1 20 - 1010 23
3 Azam 11 6 3 2 15 - 96 21
4 Kagera 12 5 5 2 14 - 95 20
5 Coastal 11 5 4 2 15 - 123 19
6 Mtibwa 11 5 3 3 14 - 104 18
7 Shooting 11 4 2 5 13 - 14-1 14
8 Oljoro 11 3 5 3 11 - 12-1 14
9 Jkt Ruvu 11 4 2 5 12 - 18-6 14
10 Prison 10 3 4 3 7 - 8-1 13
11 Mgambo 11 3 2 6 6 - 11-5 11
12 A Lyon 12 2 3 7 8 - 17-9 9
13 Toto 12 1 5 6 8 - 15-7 8
14 PolisiMoro 11 0 3 8 3 - 14-11 3

No comments:

Post a Comment