BUKOBA SPORTS

Sunday, November 4, 2012

BAADA YA KIPIGO CHA UNITED JANA, WENGER ACHUKIZWA NA MWAMUZI.

MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema hakufurahishwa na maamuzi yaliyotolewa na mwamuzi wa mchezo baina ya timu yake na Manchester United ambao walifungwa mabao 2-1.Katika mchezo huo United walipata penati katika kipindi cha kwanza baada ya Santi Cazorla kuinawa mpira uliokuwa umepigwa na Ashley Young katika eneo la hatari na baada ya Jack Wilshere kutolewa nje kwa baada ya kupewa kadi mbili za njano kwa mchezo mbovu.
Van Persie akutaka kushangilia jana baada ya kufunga goli.wenzake wakimparamia kwa sana muone Wayne Rooney hapa..
Wenger amesema kuwa mara nyingi wakati wakikutana na United lazima wapewe penati mpaka wamezoea hali hiyo huku pia akisema Wilshere hakustahili kutolea katika mchezo huo. Kocha huyo amesema kuwa alishindwa kumpumzisha Wilshere baada ya kupata kadi ya kwanza ya njano na baadae onyo kutoka kwa mwamuzi kwasababu walikuwa lazima washambulie baada ya kuwa nyuma kwa bao moja na katika benchi lake la wachezaji wa akiba alikuwa hana mbadala wake. Wenger amesema kwasasa inabidi wasahau kipigo hicho na kuelekeza nguvu zao kwa mchezo wa Jumanne ambao watakuwa wageni wa Schalke O4 katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.Jack Wilshere akitengeneza kadi nyekundu hapa..

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA
2012-2013 Barclays Premier League Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Manchester United 10 8 0 2 26 14
4 0 1 15 8
4 0 1 11 6
12 24
2 Chelsea 10 7 2 1 22 10
4 0 1 13 6
3 2 0 9 4
12 23
3 Manchester City 10 6 4 0 18 9
4 1 0 11 4
2 3 0 7 5
9 22
4 Everton 10 4 5 1 19 13
2 2 0 8 5
2 3 1 11 8
6 17
5 Tottenham Hotspur 10 5 2 3 17 14
2 2 2 8 8
3 0 1 9 6
3 17
6 Arsenal 10 4 3 3 15 8
2 1 1 8 3
2 2 2 7 5
7 15
7 Fulham 10 4 3 3 21 16
3 1 1 12 4
1 2 2 9 12
5 15
8 West Ham United 10 4 3 3 13 11
3 2 1 10 5
1 1 2 3 6
2 15
9 West Bromwich Albion 9 4 2 3 13 11
4 0 1 10 4
0 2 2 3 7
2 14
10 Newcastle United 9 3 4 2 11 13
3 1 1 6 6
0 3 1 5 7
-2 13
11 Swansea City 10 3 3 4 15 14
2 3 1 10 9
1 0 3 5 5
1 12
12 Wigan Athletic 10 3 2 5 11 16
1 2 2 7 9
2 0 3 4 7
-5 11
13 Liverpool 9 2 4 3 12 14
1 2 2 4 6
1 2 1 8 8
-2 10
14 Norwich City 10 2 4 4 8 18
2 2 1 5 6
0 2 3 3 12
-10 10
15 Stoke City 10 1 6 3 8 10
1 3 0 3 1
0 3 3 5 9
-2 9
16 Sunderland 9 1 6 2 6 9
1 2 1 3 3
0 4 1 3 6
-3 9
17 Aston Villa 10 2 3 5 8 14
1 2 1 5 5
1 1 4 3 9
-6 9
18 Reading 8 0 4 4 11 17
0 3 1 7 9
0 1 3 4 8
-6 4
19 Southampton 9 1 1 7 14 26
1 1 3 9 10
0 0 4 5 16
-12 4
20 Queens Park Rangers 9 0 3 6 7 18
0 2 2 2 8
0 1 4 5 10
-11 3

No comments:

Post a Comment