
Askari wa kikosi cha bendera kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) wakitoa heshima kwa mwendo wa haraka mbele ya Luteni
Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (hayupo pichani) wakati wa sherehe za
kumuaga zilizofanyika leo katika kambi ya jeshi hilo Mgulani jijini Dar es
Salaam. Luteni Jenerali Mstaafu Shimbo amelitumikia jeshi hilo kwa zaidi ya
miaka 41 na kushika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mkuu wa Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT) na mnadhimu mkuu wa Jeshi.
Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakitoa heshima kwa mwendo wa pole
mbele ya Luteni
No comments:
Post a Comment