BUKOBA SPORTS

Wednesday, November 7, 2012

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA 3 vs SHAKHTAR DONETSK 2, CELTIC 2 vs BARCELONA 1, BRAGA 1 vs MANCHESTER UNITED 3, BAYERN 6 vs LILLE 1 - TAA ZA UWANJANI ZAZIMIKA (MECHI YA BRAGA NA UNITED YASIMAMA KAWA MUDA)


RATIBA / MATOKEO
[Mechi zote kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku Bongo Taimu]
Jumatano Novemba 7
Juventus 4 v FC Nordsjælland 0
Chelsea FC 3 v FC Shakhtar Donetsk 2
Valencia CF 4 v FC BATE Borisov 2
FC Bayern München 6 v LOSC Lille1
SL Benfica 2 v FC Spartak Moskva 0
Celtic FC 2 v FC Barcelona1
CFR 1907 Cluj 1 v Galatasaray A.S.3
SC Braga 1 v Manchester United FC 3

CHELSEA 2 vs SHAKHTAR DONETSK 1

John Terry (kushoto) akipasha na leo hii amepigwa benchiwachezaji wa United wakipasha.

Fernando Torres's (katikati) akishangila baada ya kufunga goli baada ya kipa wa Shakhtar Donetsk kufanya makosa kupiga mpira na hatimaye Torres kukutana nao mguuni na mpira kuingia nyavuni. Willian akufanya makosa ndani ya dakika 3 akaisawazishia Shakhtar Goli na kufanya 1-1
Oscar akitupia kufunga goli la 2 baada ya kipa kufanya makosa kutoka golini na Oscar kuipatia goli Chelsea
Moses akishangilia baada ya kufunga goli la 3 usiku huu.Dakika ya 90 za lala salama Moses anatupia kwa kichwa na kuipa Chelsea matumaini ya kusonga mbeleMechi ikitaka kuanza ..
Victor Wanyama (kulia) akiipatia Celtic goli dhidi ya Barcelona
http://news.bbcimg.co.uk/media/images/63999000/jpg/_63999940_63999939.jpgVictor Wanyama akishangila na kumuomba Mungu
MABAO ya Victor Wanyama na mshambuliaji kinda Tony Watt yalitosha kuipa ushindi wa kukumbukwa Celtic wa mabao 2-1 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa kundi G wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliofanyika katika Uwanja wa Celtic Park  usiku.Kiungo wa kimataifa wa Kenya Wanyama ndiye aliyeipa bao la kuongoza timu yake katika dakika ya 21 ya mchezo huo kabla ya Watt kufunga bao la pili katika dakika za lala salama na kupelekea jahazi la kocha wa Barcelona Tito Vilanova kuzama huku bao pekee la imu hiyo likifungwa Lionel Messi katika dakika ya 90.Katika michezo mingine iliyochezwa jana Manchester United ilifanikiwa kukaa tiketi ya mzunguko wa pili wa michuano hiyo baada ya kuifunga Braga ugenini kwa mabao 3-1 huku Bayern Munich wakikaribia hatua hiyo kwa kuisambaratisha Lille kwa mabao 6-1.Shakhtar Donetsk kama ingefanikiwa kuibuka na ushindi katika kundi E ingesonga mbele lakini walikataliwa na Chelsea ambao waliwafunga mabao 3-2 huku Juventus nao wakizinduka baada ya kuandamwa na sare katika michuano hiyo na kuibugiza Nordsjaelland ya Denmark kwa mabao 4-0. Akishangilia ...
 Lionel Messi akikabwa na hatimaye kukosa pakutokea


BRAGA 1 vs MANCHESTER UNITED 3Van Persie(katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa united
Manchester United, ilitoka nyuma kwa Bao 1-0, ikastahamili umeme kukatika, na kuibuka washindi wa Bao 3-1 walipocheza huko Ureno na Braga na kuwachapa Bao 3-1 na kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 kwa kishindo wakiwa Timu pekee kwenye UEFA CHAMPIONS LIGI iliyoshinda Mechi zake zote 4. Level pegging: Van Persie latched on to Ryan Giggs' wonderful free-kick to embarrass Beto with a smart finishVan Persie akitupia
Huko Celtic Park, Glasgow, Celtic leo walitoa kishindo kikubwa kwa kuichapa Barcelona Bao 2-1. 
Goli la tatu likitafutwa hapa kwa udi na hatimaye kupatikana, nachojiuliza Chicharito alitaka achenge kipa na mabeki wote au???
Nako Stamford Bridge, Chelsea iliichapa Shakhtar Donetsk Bao 3-2 na kuweka hai matumaini yao kusonga mbele.

MAGOLI:

Braga: Alan, 49, Penati

Man United: Robin van Persie, 80, Rooney, 84, [Penati], Chicharito, 90 


VIKOSI:
Braga: Beto; Leandro Salino, Nuno André Coelho, Douglão, Elderson; Alan, Custodio, Hugo Viana, Rúben Amorim; Rúben Micael; Eder
Akiba: Quim, Mossoró, Hélder Barbosa, Baiano, Ismaily, Djamal, Zé Luis.
Man United: De Gea; Valencia, Smalling, Evans, Evra; Anderson; Nani, Giggs; Rooney; Hernández, Welbeck
Akiba: Lindegaard, Rafael, Ferdinand, Carrick, Young, Van Persie, Cleverley.
Refa: Felix Brych (Germany).


 

GROUP STAGE

Group A

# Team MP W D L F A D P Last 5
1
431062+410DWWW
2
4301102+89WWLW
3
411257-24DLWL
4
4004010-100LLLL

Group B

# Team MP W D L F A D P Last 5
1
422085+38DWDW
2
421176+17DLWW
3
420277+06WWLL
4
401359-41LLDL

Group C

#
Team MP W D L F A D P Last 5
1
431081+710DWWW
2
412144+05DLWD
3Previous rank: 4411214-34WLLD
4Previous rank: 3410337-43LWLL

Group D

# Team MP W D L F A D P Last 5
1
422064+28DWDW
2
4211107+37DLWW
3
411268-24DWLL
4
402269-32DLDL


Group E

# Team MP W D L F A D P Last 5
1Previous rank: 24211106+47WLWD
2Previous rank: 1421175+27LWDW
3
413084+46WDDD
4
4013111-101LDLL


Group F

# Team MP W D L F A D P Last 5
1Previous rank: 34301105+59WWLW
2Previous rank: 14301104+69WWWL
3Previous rank: 2420289-16LLWW
4
4004212-100LLLL


Group G

# Team MP W D L F A D P Last 5
1
430185+39LWWW
2
421165+17WLWD
3Previous rank: 4411234-14WLLD
4Previous rank: 3410369-33LWLL

Group H



# Team MP W D L F A D P Last 5
1
440094+512WWWW
2Previous rank: 4411245-14WDLL
3Previous rank: 2411256-14LDLW
4Previous rank: 3410358-33L

No comments:

Post a Comment