BUKOBA SPORTS

Saturday, December 1, 2012

PATA RATIBA YA MECHI ZA LEO EPL 2012 WIKIENDI HII

Arsenal wanaikaribisha Emirates Stadium Swansea City na Chelsea anasafiri kuelekea West Ham.
 
WENGER NA MATUMAINI KIBAO!!
Wakiwa nafasi ya 7 na Pointi 12 nyuma ya vinara Manchester United, Arsene Wenger ana imani kubwa kuwa Mechi za Arsenal sita zinazofuata ndizo zitaamua nini hatima yao kwenye Ligi Kuu England Msimu huu hasa akizingatia kuwa wao hadi sasa wamecheza Mechi 8 za Ligi kati ya 14 ugenini.



Kati ya Mechi 6 za Arsenal zinazofuata kwa Mwezi Desemba, Mechi zao 4 ziko nyumbani kwao Uwanja wa Etihad na hilo limempa Wenger matumaini makubwa kuwa watawakamata Man United na Man City ambao wako kileleni huku United wakiwa Pointi 1 mbele ya City.

MECHI ZA MATUMAINI YA WENGER:
Desemba 1: Arsenal v Swansea City
Desemba 8: Arsenal v WBA
Desemba 17: Reading v Arsenal
Desemba 22: Wigan v Arsenal
Desemba 26: Arsenal v West Ham
Desemba 29: Arsenal v Newcastle

Wenger amezungumza: “Kwa sasa hizo Timu za Manchester ziko juu. Hawakuonyesha umahiri mkubwa lakini wameonyesha ni Timu ngumu kwa kutumia nafasi walizopata. Kwa mfano, Man United wamepoteza gemu 3 kwenye Ligi na moja UEFA CHAMPIONS LIGI. Ni sawa kama sisi lakini wamepata Pointi nyingi kwa sababu hawana Droo nyingi.”
Wenger amesema ikiwa watafanya vyema kwenye Mechi zao 4 za nyumbani watakuwa juu tu.


2012-2013 Barclays Premier League Table
  Overall
Home
Away
 
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Manchester United 14 11 0 3 33 18
6 0 1 19 9
5 0 2 14 9
15 33
2 Manchester City 14 9 5 0 27 10
6 1 0 18 5
3 4 0 9 5
17 32
3 Chelsea 14 7 5 2 24 13
4 3 1 14 7
3 2 1 10 6
11 26
4 West Bromwich Albion 14 8 2 4 24 18
6 0 1 14 5
2 2 3 10 13
6 26
5 Tottenham Hotspur 14 7 2 5 25 23
4 2 2 13 10
3 0 3 12 13
2 23
6 Everton 14 5 7 2 24 18
3 4 0 12 8
2 3 2 12 10
6 22
7 Arsenal 14 5 6 3 24 14
3 2 1 16 8
2 4 2 8 6
10 21
8 Swansea City 14 5 5 4 21 17
3 4 1 13 10
2 1 3 8 7
4 20
9 Stoke City 14 4 7 3 13 12
4 3 0 7 2
0 4 3 6 10
1 19
10 West Ham United 14 5 4 5 16 16
3 3 1 11 6
2 1 4 5 10
0 19
___________________________


RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi 1 Desemba 2012
(SAA 9 Dak 45 Mchana)
West Ham vs Chelsea
[SAA 12 Jioni]
Arsenal vs Swansea
Fulham vs Tottenham
Liverpool vs Southampton
Man City vs Everton
QPR vs Aston Villa
West Brom vs Stoke
[SAA 2 Dak 30 Usiku]
Reading vs Man United
 

Jumapili Desemba 2
[SAA 1 Usiku]
Norwich vs Sunderland
Jumatatu Desemba 3
[SAA 5 Usiku]
Newcastle vs Wigan

No comments:

Post a Comment