BUKOBA SPORTS

Saturday, December 1, 2012

JB MPIANA ATUMBUIZA WATU KIDUCHU!!, MASHUJAA BAND WASHINDWA KUZINDUA ALBUM YAO YA PILI, JB MPIANA ALAZIMIKA KUPANDA JUKWAANI SAA 9:00 USIKU BAADA YA JENERETA KUWA SAWA NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS...!

JB Mpiana
Mwanamuziki JB Mpiana na bendi yake wakifanya vitu vyao baada ya kupanda stejini kwenye viwanja vya Leaders Club, Kionondoni jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Hapa ilikuwa ni mida ya saa 9:00 baada ya gwiji huyu kusubiri sana kutokana na mizinguo ya umeme wa TANESCO na pia wa jenereta kubwa lililotegemewa mahala hapo kuzalishia nishati hiyo usiku wa kuamkia leo (Desemba 1, 2012).
Jenereta likizingua na hapa ni wadau na mafundi wakiangaika vilivyo...Mamashabiki wakiendelea kuserebukaBaadhi ya wanamuziki wa JB Mpiana wakifanya vituuuzMashujaa BandH.BABA alitinga na Trekta usiku huoDadaz wa Mashujaa BandPicha kwa hisani ya michujijrblog

No comments:

Post a Comment