BUKOBA SPORTS

Saturday, December 1, 2012

ENGLISH PREMIER LEAGUE: WEST HAM 3 vs 1 CHELSEA, KIBARUA CHA RAFA BENITEZ CHAZIDI KUWA KIGUMU!!!! TORRES AZIDISHA UGUMU WA KIBARUA KWA KOCHA WAKE!! CARLTON COLE AICHOMA TIMU YAKE YA ZAMANI.

Angalia hii picha!!!Carlton Cole goal header v Chelsea
Ligi kuu England imeendelea tena West Ham wakiikarisha Chelsea. Mchezo ulianza mchana huu wa leo saa tisa na dakika 45. Juan Mata amefanikiwa kutingisha nyavu dakika za mapema ya kadika ya 13. Lakini Carlton Cole akaifanya timu yake ya West Ham kuja juu kipindi cha pili na kufanikiwa kurudisha goli na kufanya timu zote kuwa 1-1.Mohamed Diame  akafunga goli la 2 na ambalo lilionekana kama la utata kidogo kwenye kadika ya 86.

Modibo Maiga akawashona la tatu na la mwisho dakika ya 90 dakika za lala salama.
Kumbuka tangu mwaka 2003 walikuwa na ukame wa kutowafunga kwenye premier ligi dhidi yao.
West Ham wakifurahia kuondoa ukame na historia ndefu ya tangu 2003

Mohamed Diame akiwakifunga goli


VIKOSI
West Ham: Jaaskelainen, Demel, Collins, Reid, O'Brien, Tomkins (Taylor, 46), Noble, O'Neil (Diame 46), Nolan, Jarvis, Cole (Maiga 87). 
Subs not used: Spiegel, Spence, Fanimo, Moncur.
Booked: Noble.
Goal: Cole 63, Diame 86, Maiga 90+1.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Cole, Mikel, Ramires, Moses (Marin 78), Hazard (Oscar 73), Mata, Torres. 
Subs not used: Turnbull, Ferreira, Bertrand, Romeu, Piazon.
Booked: Cech, Mikel.
Goal: Mata 13.
Referee: Martin Atkinson.
Happy Hammers: Players mob Carlton Cole after he came back to haunt his former clubCarlton Cole akifurahia kufunga timu yake ya zamani Chelsea.
Lean on me: Carlton Cole fends off Branislav Ivanovic to nod West Ham level
Carlton Cole akifunga goli na hapa alionekana kufanya makeke dhidi ya Branislav Ivanovic
No mistake: Juan Mata beats Jussi Jaaskelainen from close range to put the visitors ahead
Juan Mata akimfunga Jussi Jaaskelainen kipa wa West Ham goli la kwanza.
Pointing the way: Juan Mata fired Chelsea ahead after 13 minutes
Juan Mata akishangilia baada ya kuipatia timu yake goli dakika ya 13
Celebration time: Victor Moses joins Fernando Torres and Juan Mata after the latter's goa
Victor Moses, Fernando Torres na Juan Mata kushangilia
The drought goes on: Fernando Torres was once again a shadow of his former self
Fernando Torres amekosa goli la wazi leo
Caught out: Petr Cech reacts to his yellow card after handling outside the area
Petr Cech amepigwa kadi ya njano baada ya kupangulia mpira nje
Holding on: Winston Reid gets to grips with Ramires
Passion: Rafa Benitez kicks every ball on the touchline
Rafa Benitez akisisitiza timu yake uwanjani isijisahau
Watching brief: Sam Allardyce and Rafa Benitez look on as Cesar Azpilicueta tackles Joey O'Brien 

RATIBA /MATOKEO
Jumamosi 1 Desemba 2012
(SAA 9 Dak 45 Mchana)
West Ham 3 vs Chelsea 1
[SAA 12 Jioni]
Arsenal vs Swansea
Fulham vs Tottenham
Liverpool vs Southampton
Man City vs Everton
QPR vs Aston Villa
West Brom vs Stoke
[SAA 2 Dak 30 Usiku]
Reading vs Man United
 

Jumapili Desemba 2
[SAA 1 Usiku]
Norwich vs Sunderland
Jumatatu Desemba 3
[SAA 5 Usiku]
Newcastle vs Wigan


 
DABI YA MADRID JUMAOSI HII NI 
>>NI RONALDO vs FALCAO, wote wana 11 LA LIGA!!
>>REAL hawajafungwa na ATLETICO tangu 1999!!

LA LIGA
RATIBA:
Jumamosi Desemba 1
Getafe v Malaga
Valencia v Real Sociedad
Barcelona v Athletic Bilbao [SAA 4 Usiku]
Real Madrid v Atletico Madrid [SAA 6 Usiku]
 
WAFUNGAJI BORA LA LIGA:
-Lionel Messi [Barcelona] Magoli 19
-Cristiano Ronaldo [Real Madrid] 11
-Radamel Falcao 11
 
Wakati Diego Simeone amekataa kuzungumza lolote kusu Dabi hii, Jose Mourinho wa Real amekuwa akijitetea kuwa hana presha yeyote licha ya baadhi ya wadau wa Real kumzomea majuzi walipoifunga Alcoyano 3-0 kwenye Mechi ya Copa del Rey.
Vinara wa Ligi, Barcelona, leo Jumamosi watakuwa kwao Nou Camp kuwakaribisha Athletic Bilbao bila ya Dani Alves na Alexis Sanchez ambao ni majeruhi lakini Adriano na Thiago sasa wapo fiti na wanaweza kucheza.

No comments:

Post a Comment