BUKOBA SPORTS

Tuesday, January 1, 2013

MGANDA WA AZAM BRAIN UMONY AWASILI LEO ASUBUHI CHEKI PICHA AKIPOKELEWA


Umony akiwasili JKNIA, leo asubuhi tayari kuanza kazi Azam FC

mchezaji wa Azam FC Brain Umony (kulia) akiwasili Uwanja wa Ndege JNIA leo asubuhi, kushoto ni meneja wa timu Patrick Kahemele

Mshambuliaji Brain Umony wa Azam FC alipowasili Uwanja wa Ndege JNIA leo asubuhi, na kupokelewa na meneja wa timu Patrick Kahemele.

No comments:

Post a Comment