BUKOBA SPORTS

Sunday, March 17, 2013

AUSTRALIA GRAND PRIX: GROSJEAN AONGOZA FINAL PRACTICE.

Raring to go: Sebastian Vettel steers his car out of the pit lane to start a lap during the first practice sessionDEREVA wa timu ya Lotus Romain Grosjean amefanikiwa kuendesha kwa kasi zaidi na kumzidi Fernando Alonso wa timu ya Ferrari katika majaribio ya mwisho katika mvua kabla ya kuanza kwa mashindano ya kwanza msimu huu ya Australia Grand Prix. Mfaransa huyo alimpita Alonso kwa sekunde 0.071 muda mfupi kabla mvua kubwa haijaanza kunyesha katika barabara za Albert Park kunakofanyika mashindano hayo. Katika mbio hizo za mwisho za majaribio bingwa wa Dunia Sebastian Vettel alitoka nje ya barabara baada ya gari lake kupata matatizo ambapo fundi mkuu wa timu ya Red Bull alikika akimtaka Vettel kutoka nje ya barabara baada ya gari lake kuharibika. Lakini ofisa mkuu wa timu hiyo baadae adai kuwa kuna baadhi ya vyombo vya umeme katika gari hilo vilishinwa kufanya kazi sawasawa kwa kutoa taarifa zisizo sahihi. Mashindano hayo ambayo ilikuwa yaendelee tena leo yalisimamishwa mpaka Jumapili baada ya mvua kubwa kunyesha katika jiji la Melbourne hivyo kuhatarisha usalama wa madereva wanashiriki mbio hizo.
Eventful day: Lewis Hamilton of Mercedes set a blistering pace in the first practice session of the Australian Grand Prix, but the Brit then slid out of the second session and crashed into a tyre wall

Lewis Hamilton throws up the gravel in the second practice session at the Australian Grand Prix in Melbourne

Promise: Hamilton had set consistently quick sector times in first practice, matching world champion Sebastian Vettel of Red Bull
Promise: Hamilton had set consistently quick sector times in first practice, matching world champion Sebastian Vettel of Red Bull
Waiting game: Hamilton waits for someone to take him back to the pits
Waiting game: Hamilton waits for someone to take him back to the pits
Get back on the bike: Hamilton gets a ride to the pits after getting stuck in the gravel trap
Get back on the bike: Hamilton gets a ride to the pits after getting stuck in the gravel trap
Fault? Early indications were that a problem with the car caused Hamilton to slide off the track
Fault? Early indications were that a problem with the car caused Hamilton to slide off the track
Rollercoaster start: Hamilton discusses the finer points of his drive with the Mercedes team
Rollercoaster start: Hamilton discusses the finer points of his drive with the Mercedes team

Unimpressed: Brit Jenson Button didn't look too happy as his McLaren car struggled the keep up with the pace
Unimpressed: Brit Jenson Button didn't look too happy as his McLaren car struggled the keep up with the pace

Stony-faced: Jenson Button after practice at the Australian Grand Prix in Melbourne
Stony-faced: Jenson Button after practice at the Australian Grand Prix in Melbourne

No comments:

Post a Comment