SUNDERLAND 1 vs NORWICH CITY 1
Norwich wakicheza ugenini na Sunderland leo, Wametoshana nguvu na timu ya Norwich City wakiwa 10 baada ya kipa wao Bunn kupewa kadi nyekundu dakika ya 30 kipindi cha kwanza na kutoka sare ya Bao 1-1 walipocheza ugenini na Sunderland katika mchezo uliojaa utata utata wa mara kwa mara.
Norwich City ndiyo waliotangulia kufunga kwa Bao la kichwa la Wes Hoolahan lakini walipata pigo kubwa katika Dakika ya 30 Kipa wao Mark Bunn alipotolewa kwa Kadi Nyekundu kwa madai alidaka nje ya Boksi.
Kisha Sunderland wakasawazisha Bao kupitia Craig Gardner kupitia kwa Penati tata kwa kudaiwa Mchezaji wa Norwich aliunawa Mpira.
Refa Chris Foy akionesha mapenzi kwa timu ya Sunderland ambao tarehe 30 wataikaribisha timu ya Manchester United Kwao.
Sare hii inawafanya Sunderland kushika nafasi ya 15 wakiwa na alama 31 na Norwich City wakiwa nafasi ya 12 wakiwa na alama 34 juu ya Newcastle wenye pointi 33.
Kipa Bunn akiingia kwa nguvu na kuupangua mpira huo kwa mikono nje ya eneo lake
Craig Gardner akichuana na mchezaji wa Norwich Wes Hoolahan
VIKOSI:
Sunderland: Mignolet, Gardner, O'Shea, Cuellar (Bramble 71), Rose, Johnson (Wickham 84), Vaughan, Larsson, Sessegnon, Fletcher, Graham (McClean 75).
Subs Not Used: Westwood, Bardsley, N'Diaye, Colback.
Booked: Larsson.
Goals: Gardner 40 pen.
Norwich: Bunn, Martin, Bassong, Turner, Garrido, Elliott Bennett, Johnson, Howson, Snodgrass (Whittaker 88), Hoolahan (Camp 31), Kamara (Holt 64).
Subs Not Used: Jackson, Fox, Becchio, Ryan Bennett.
Sent Off: Bunn (30).
Booked: Snodgrass, Holt, Camp.
Goals: Hoolahan 26.
Att: 38,625
Ref: Chris Foy (Merseyside).
RATIBA/MATOKEO
BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumamosi Machi 16
Everton 2 vs Manchester City 0
[Saa 9:45 Mchana]
Aston Villa 3 vs Queens Park Rangers 2
Southampton 3 vs Liverpool 1
Stoke City 0 vs West Bromwich Albion 0
Swansea City 0 vs Arsenal 2
[Saa 12:00 Jioni]
Manchester United 1 vs Reading 0
[Saa 2:30 Usiku]
Jumapili Machi 17
[Saa 10:30 Jioni]
Sunderland 1 vs Norwich City 1
[Saa 12 Jioni]
Tottenham 0 vs Fulham 1
[Saa 1 Usiku]
Wigan Athletic 2 vs Newcastle United 1
Chelsea 2 vs West Ham 0
BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumamosi Machi 16
Everton 2 vs Manchester City 0
[Saa 9:45 Mchana]
Aston Villa 3 vs Queens Park Rangers 2
Southampton 3 vs Liverpool 1
Stoke City 0 vs West Bromwich Albion 0
Swansea City 0 vs Arsenal 2
[Saa 12:00 Jioni]
Manchester United 1 vs Reading 0
[Saa 2:30 Usiku]
Jumapili Machi 17
[Saa 10:30 Jioni]
Sunderland 1 vs Norwich City 1
[Saa 12 Jioni]
Tottenham 0 vs Fulham 1
[Saa 1 Usiku]
Wigan Athletic 2 vs Newcastle United 1
Chelsea 2 vs West Ham 0
No comments:
Post a Comment