Bao pekee la Dimitar Berbatov la dakika ya 52 kipindi cha pili leo Fulham wakiwa ugenini White Hart Lane limewapa ushindi na kuweza kuwasimamisha Spurs kwa kichapo kutoka kwa mchezaji wao wa zamani Berbatov Tottenham alipofunga Bao moja na kutoka kidedea kwa Bao 1-0.
Kipigo hiki cha leo ni pigo kwa Tottenham ambao wamekamata nafasi ya 4 wakiwa Pointi 4 mbele tu ya Arsenal wenye Mechi moja mkononi.
Tulieni...
VIKOSI:
Tottenham: Lloris, Naughton, Caulker, Dawson (Dempsey 46), Vertonghen, Sigurdsson (Defoe 62), Dembele (Carroll 67), Parker, Assou-Ekotto, Adebayor, Bale.
Subs not used: Friedel, Walker, Holtby, Livermore.
Booked: Dempsey.
Fulham: Schwarzer, Riether, Senderos, Hangeland, Riise, Dejagah, Sidwell, Karagounis (Enoh 77), Duff, Ruiz (Emanuelson 90), Berbatov.
Subs not used: Etheridge, Hughes, Richardson, Petric, Rodallega.
Booked: Dejagah.
Goals: Berbatov 52.
Att: 36,004.
Referee: Mike Jones (Cheshire).
No comments:
Post a Comment