BUKOBA SPORTS

Sunday, March 17, 2013

KIROYERA TOURS YATEMBELEA SHULE YA MUGEZA MUSETO - BUKOBA


Ahadi imetimia: Bw. Willium O. Rutta akitoa zawadi ya Radio kwa kijana Wilfred Wilbard leo jumapili Asubuhi.
Bw. Willium O. Rutta akisalimiana na watoto walemavu katika shule hiyo ya Mugeza Museto iliyopo nje ya mji wa Bukoba leo hii.

Bw. Abdulrazak Majid (kushoto) na Bw. Faustine kulia kwenye picha ya pamoja na watoto

Abdulrazak Majid(katikati) na Bw. William O. Rutta kushoto wakisalimiana na kijana Wilfred Wilbard ambaye ni kipofu wa macho lakini anasifika kwa kujua maswala ya kandanda kiuchambuzi ndani ya Nchi na nje ya Nchi.
Nilikuahidi zawadi kijana wangu Wilfred Wilbard na leo hii nimeikuletea, Naomba niikupatie


Wilfred Wilbard kulia ni mpenzi wa maswala ya soka hivyo alikuwa na kiu ya kupata Radio muda mrefu na leo hii kaipata sasa kazi kwangu ...

Bwana Abdulrazak Majid akifanya mahojiano mafupi na kijan Wilfred Wilbard shuleni hapo Mugeza Mseto leo tarehe 17.03.2013
Radio ni Habari na hapa ni mwazo mwisho... Kasibante Radio...Radio one ..Clouds..radio free ..
Wilfred Wilbard kwenye picha na Bw. William O. Rutta wa Kiroyera Tours Bukoba
Bwana Abdulrazak Majid na Wilfred Wilbard (kulia) kwenye Ukodak

No comments:

Post a Comment