BUKOBA SPORTS

Sunday, March 17, 2013

PICHA: NICKI MINAJ AKIWA SWEEMMING POOL.


Rapa wa kike mwenye umri wa miaka 30 sasa maarufu kama Nicki Minaj, ameachia picha nyingine kupitia mtandao wa Tweeter zinazomuonyesha akiogelea. Picha hizo zimechukuliwa kwaajili ya wimbo mpya alioshirikiana na masanii Lil Wayne huku ngoma yenyewe ikijulikana kama "High School".

No comments:

Post a Comment