BUKOBA SPORTS

Saturday, June 1, 2013

ADAM ABEID NA Bi. SARAH ITOLYA WAUAGA UKAPERA RASMI LEO HII JUMAMOSI TAREHE 01.06.2013

Mhhh.....Adam na Sarah wakijiachia kwenye ufukwe wa ziwa Victoria leo hii jioni.
Ukodak moment...mimi ni wako halali ...nitakupenda daima.


Chereko chereko!!! litaendelea usiku huu katika ukumbi wa Lina's Bukoba usiku huu..


Bwana Adam na Sarah sasa ni kimoja na hapa wakiwa kwenye ufukwe wa ziwa Victoria Bukoba.
Bi Harusi Sarah akiwa amebebwa juu na wasimamizi wao katika ufukwe huku akifurahia maisha yao ya ndoa ambayo ndiyo kwanza yanaanza rasmi leo hii.


Mhhh.....
Mrs Jamal Kalumuna akishangaa Bwana Harusi na Bi Harusi kwenye ufukwe wa ziwa Victoria leo hii
....Jamani wamependezaaaje...!!!
Bwana Harusi naye ikawa zamu yake kubebwa juu juu hapa huku Adam akifurahia ubebwaji huo.

Bibi Harusi Sarah akimwangalia Mumewe Adam kwa furaha..
Furaha zikatanda zaidi kwa bi. Sarah na kwa Adam zikamjia kama upepo safiii na huku wakishuhudiwa na wasimamizi wao katika ufukwe wa Ziwa Victoria Bukoba.



Dunia ni yetu sasa..!!!
Ukodak ukaendelea kuwa wa hatari zaidi ni full mapozi..
Wasimamizi na Bwana Harusi na Bi Harusi katika picha ya pamoja

Wazazi nao hawakubaki nyuma walikuwepo katika picha za pamoja ufukweni hapo

Picha ya pamoja




Wadau
Keki
Keki iliyoandaliwa kuliwa na Bwana na Bibi usiku huu....karibuni sana...www.bukobasports.com

No comments:

Post a Comment