
Msanii wa filamu Tanzania Jaji Khamis anaejulikana kama Kashi, amefariki leo hii, akiwa hospitali ya taifa ya Muhimbili, huku kilichomuua hakijajulikana mpaka dakika hii, ila inasemekana alikua anaumwa kiasi cha kushindwa kuongea usiku wa kuamkia jana.
kupitia mtandao wa instagram muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) aliandika...
Ehhh Mungu wangu!!! mbona tunaisha hv jamani??? REST IN PEACE DADA CASHY.....uwiii tumrudieni MUNGU jamani...hakuna anaejua siku wala saa.
Wema Sepetu nae aliandika....
Inna lillahi wa innah illahi rajoon.....dah tunapukutika tu wallahi...dah
No comments:
Post a Comment