BUKOBA SPORTS

Sunday, June 9, 2013

ZAHARA SELEMANI WA KISHAPU NDIYE REDDS MISS SHINYANGA 2013.


MISS SHINYANGA 2013 ZAHARA SELEMAN ALIYEKETI AKIWA MSHINDI WA PILI KUSHOTO NA MSHINDI WA TATU KULIA.

MGENI RASMI MKUU WA WILYA YA KAHAMA BENSON MPESYA AKIWASILI UKUMBINI

MGENI RASMI AKIPOKELEWA NA MEZA KUWA.

BAADHI YA WAGENI WAKIWA NDANI YA UKUMBI

OCD WA WILAYA YA KAHAMA GEORGE SIMBA KUSHOTO AKIWA UKUMBINI

BAADA YA MKUU WA WILAYA KUFUNGUA WAREMBO WAKAPANDA KWA STAGE NA SHOW YA UFUNGUZI

ABDU KIBA AKIFANYA YAKE KWA STAGE

KISHA JUDGE DR.ATHANAS AKITANGAZA TOP TEN

WAREMBO WAKIITWA MMOJA MMOJA KATIKA TOP 10

JAMANI HAWA NDIYO WAREMBO WALIOSHIKA TOP TEN

KISHA MWANADADA LADY JAY DEE BINTI MACHOZI AKAPUNGUZA JOTO KWA KUWARUSHA WANA KAHAMA.

LADY JAY DEE AKIWARUSHA WAKAZI WA KAHAMA

LADY JAY DEE AKIWAJIBIKA KATIKA MISS SHY USIKU HUU

NA HAWA NDIYO TOP FIVE WA MISS SHY 2013

No comments:

Post a Comment