Jose Mourinho akiwa uwanjani na wachezaji wa Blues wakifanya mazoezi
Mourinho na wachezaji wake uko Bangkok wakifanya mazoezi kujipanga kucheza mchezo wa kirafiki kati ya Singha All-Stars utakaochezwa baada ya siku chache zijazo.
Mourinho akifurahia jambo hapa na wachezaji
Andre Schurrle (kati) ni moja ya wachezaji wapya waliosahiniwa na Chelsea msimu huu unaotarajiwa kuanza
Demba Ba kulia nae amwekwa kwenye kikosi kwenye hii zihara
Romelu Lukaku nae yupo aliyetoka kwa mkopo West Brom
Michael Essien returns after a season-long loan at Real Madrid
Captain John Terry accompanies Dutch new boy Marko van Ginkel on a walk
Gearing up: Terry will hope to avoid the injuries which hampered his appearances last season
Here for now: Wallace (right) might be going back out on loan despite just arriving
No comments:
Post a Comment