KAGASHEKI CUP 2013: BILELE 4 vs KIBETA 1, USWAZ WAENDELEZA KICHAPO TENA LEO HII!!!
Wachezaji wa Bilele na Kibeta wakisalimia kabla ya mtanange Wachezaji wa Kibeta wakiomba uwanjani na kupeana mikakati Mtanange huo umeanza... Mchezaji wa Bilele baada ya kufunga akifurahia ushindi Wenzie nao wakajumuika kumpongeza muda huo Hongera sana kijana!!
Wachezaji wa Bilele wakirudi uwanjani. Kibeta wakifanya mabadiliko Mbele ya kocha wake !!
Nipe tano kwanza!!! Mtukome!! Wachezaji wa Bilele wakipongezana kwa furaha baada ya kufunga bao la tatuMchezaji wa Bilele akiwatoka mabeki wa Kibeta na kwenda kufunga bao Mashabiki kwenye Jukwaa la Balimi hapakutosha!!
Mashabiki wa Bilele a.k.a Km 0 "mpango mzima" wewe!!! Furaha za ushindi za timu ya Bilele
No comments:
Post a Comment