Kocha mkuu wa United David Moyes akiwa mazoezini na timu yake jana kwenye mazoezi tayari kuikabili Singha All-Stars leo jumamosi.
Kocha Moyesameanza kwa ziara ya Bangkok kwa kunoa kikosi chake na hii inakuwa kwa mara ya kwanza
Wachezaji wa United wakifanya mazoezi jana ijumaa
Moyes akiwa na staili mpya na ya aina yake leo huko Bangkok atakuwa na mtanange mkali na hapa alikuwa akiwapa somo wachezaji wa Man United jana Ijumaa kwenye mazoezi.
Danny Welbeck (kushoto) aliyesajiliwa na Mzee Ferg leo anatarajiwa kuonesha kiwango safi
Moyesakiweka mambo sawa na hapa akisikilizwa kwa makini na wachezaji wakiwa tayari kwa mchezo wa leo wa kirafiki na Singha All-Star Xi ya Bangkok Thailand
David Moyes akiteta na Wilfried Zaha jana uwanjani wakati United wanafanya mazoezi
Moyes akiwa na Rio Ferdinand kwenye mkunano na wahandishi wa habari 
Wayne Rooney hatacheza kwa sababu ya kuumia mazoezi mguu (sustaining a hamstring injury) hivyo yeye jana alisepa nyumbani England na kwa taarifa atakaa nje wiki mbili na siyo mwezi mmoja kama ilivyokuwa imetangazwa hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment