BUKOBA SPORTS

Saturday, July 20, 2013

DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA TAKE ONE MIDA YA FUTARI:



Hii ilikuwa siku ya jana baada ya kupata futari na ndugu,jamaa na marafiki na watu wasiojiweza Presenter wa kipindi cha Take One Zamaradi ambae nae alikuwa mmoja wa wageni waalikwa aliamua kubadilisha mazingira na kuamua kunifanyia Interview mimi
pamoja na familia yangu juu ya mfungo huu wa ramadhani na Jinsi tunavyokabiria na mambo

No comments:

Post a Comment