BUKOBA SPORTS

Saturday, July 6, 2013

FAINALI YA WIMBELDON SASA NI DJOKOVIC DHIDI YA MURRAY JUMAPILI


Fainali ya mchezo wa tenisi ya Wimbeldon Jumapili itakuwa kati ya Andy Murray dhidi ya Novak Djokovic.
Murray ameingia fainali baada ya kuibuka na ushindi katika nusu fainali ya pili dhidi ya Jerzy Janowicz.
Nusu fainali hiyo ya pili ya Waingereza tupu, ilimalizika kwa Murray kushinda kwa seti 6-7, 6-4, 6-4, 6-3.
Kabla Djokovic raia wa Serbia alikuwa amemshinda Del Porto kwa seti 7-5, 4-6, 7-6, 6-7, 6-3.
Mwisho wa ubishi utakuwa ni Jumapili na wawili hao wamekuwa noma katika michuano hii.
Down and out: Janowicz looked to be in control in the third set but fell apart as was knocked out by Murray.
Raging: Andy Murray couldn't believe the decision by Wimbledon officials to stop play for bad light

No comments:

Post a Comment