MICHUANO YA KOMBE LA KAGASHEKI YAANZA LEO HII KWENYE UWANJA WA KAITABA BUKOBA. TIMU YA HAMUGEMBE IKITANDIKWA NA BAKOBA BAO 1-0
Balozi Khamis Kagasheki
akisalimiana na wachezaji muda mfupi kabla ya mtanange kuanza Balozi Khamis Kagasheki
ndiye ana Jamal Malinzi kushoto nae alikuwepo kwenye ufunguzi huu wa kombe la Kagasheki Balozi Khamis Kagasheki akifurahia leo hii kwenye ufunguzi wa kombe na hapa ni wakati anaongea na wachezaji pande zote mbili. Bakoba na Hamugembe Wachezaji wakisalimiana kabla ya mtanange kuanza Kikosi cha Timu ya Hamugembe Kikosi cha timu ya Bakoba Waamuzi wa mchezo huu wa Bakoba na timu ya Hamugembe Wachezaji wa Hamugembe wakishangilia kwenda kuanza kandanda Mchezo ukaanza kati patashika! watazamaji waliitikia kwa wingi Wadau wakishangilia kwa sana baada ya Timu ya Bakoba kupata bao kipindi cha kwanza Bw.Valelian wa Radio Vision naye alikuwepo kucheki kandanda Bw. Ernest Nyambo (kaka mkubwa) kushoto nae alikuwepo na hapa alikuwa na rafiki yake wakifatilia mtanange ...Tunafatilia kwa makini!!! watazamaji wakifatilia mtanange leo hii kwenye ufunguzi wa Kagasheki Cup leo hii Nachukua matukio ni Bw. jamco Jamal Kalumuna akichukuwa Video kwenye Kagasheki cup leo hii Bw.Faustine Ruta wa bukobasports.com nae alikuwepo uwanjani kuangalia swala zima la ufunguzi wa Kagasheki cup jioni ya leo.
No comments:
Post a Comment