BUKOBA SPORTS

Sunday, July 14, 2013

HASHEEM THABEET AWA KIVUTIO KWA MASHABIKI UWANJA WA TAIFA


Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar.

Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.

No comments:

Post a Comment