MASHINDANO Ya FIFA ya Kombe la Dunia kwa Vijana chini ya Miaka 20, U-20, yaliyokuwa yakichezwa huko Nchini Turkey yamefikia tamati leo hii Jumamosi usiku , Julai 13, ndani ya Türk Telekom Arena Ali Sami Yen Spor Kompleksi Mjini Istanbul kwa kuchezwa Mechi mbili ambazo ni Fainali kati ya France na Uruguay na kutanguliwa na Mechi ya kusaka Mshindi wa Tatu kati ya Ghana na Iraq.
Alphonse Areola akishangilia baada ya kutoa mkwaju wa pili uliopigwa na mchezaji wa Uruguay
No comments:
Post a Comment