BUKOBA SPORTS

Sunday, July 14, 2013

MAJOGOO LIVERPOOL WAFANYA KWELI KWENYE MECHI YA KIRAFIKI, PRESTON 0 vs LIVERPOOL 4

Liverpool jana imeibamiza Timu ya Ligi 1, Preston North End, Bao 4-0 katika Mechi ya Kirafiki iliyochezwa huko Deepdale.
Hadi Mapumziko, Liverpool ilikuwa mbele kwa Bao moja la Dakika ya 14 la Coutinho.
Kipindi cha Pili, Liverpool waliongeza Bao 3 nyingine Wafungaji wakiwa Ibe, Dakika ya 37, Raheem Sterling, Dakika ya 64 na Aspas, Dakika ya 75.
Opening account: Ibe scores his first goal for the first team at Deepdale
Ibe alijipatia bao la kwanza kwenye uwanja huko Deepdale
Preparations underway: Coutinho competes with Paul Huntington of Preston North End during the win
Coutinho akimtoka Paul Huntington wa Preston North End Tucked away: Liverpool's Philippe Coutinho slots home the opening goal
Mchezaji wa Liverpool Philippe Coutinhoakifunga bao, Liverpool walishinda 4-0 kwenye mtanange huo wa kirafiki.

No comments:

Post a Comment