BUKOBA SPORTS

Tuesday, July 9, 2013

MFAHAMU "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE" NCHINI SOUTH AFRIKA

Picha ya Mrembo Mellis Edward aliyedakwa na madawa ya kulevya Afrika kusini akiwa na Agness Masogange
Mellis Edward
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward” ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.



Kamanda Gofrey Nzowa - Kitengo cha Madawa ya Kulevya

Agness Masogange akiyahesabu "MAPESA" yake. Picha hii aliiweka siku chache zilizopita

No comments:

Post a Comment