
Bongo Movie kushoto na Bongo Flava kulia wakiiimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza mechi.

Kabumbu likiendelea..

Godi Muhokozi wa timu ya Bongo flava akishangilia goli alilolifunga katika kipindi cha kwanza. Pembeni yake ni msanii Abdul Kiba.

Bongo Movie wakiendelea kutafuta goli la kurudisha..

Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa timu ya Bongo Flava msanii H-Baba..

Msanii wa Wanaume Halisi KR-Mula akishangilia na washabiki wa Bongo Flava..
Mechi kati ya Bongo movie na Bongo Flava ilikuwa ya aina yake. Imemaliza kwa mikwaju ya penati Bongo flava wakiibuka washindi kwa mabao mawili
Timu ya Bongo Fleva imeibuka kidedea kwa kuichapa Bongo Muvi mabao 3-2 katika mchezo wao wa leo kwenye Tamasha la Matumaini 2013. Mpaka filimbi ya mwisho inapulizwa mabao yalikuwa 1-1 ndipo zikaamriwa penalti na Bongo Fleva kuibuka kifua mbele kwa penalti 2-1.
No comments:
Post a Comment