Mabingwa Watetezi Swansea City wamepangiwa kwenda kucheza Ugenini na Timu ya Daraja la Championship Birmingham.
Mechi zitakazohusisha Timu za Ligi Kuu
pekee ni zile za Aston Villa v Tottenham, West Brom v Arsenal, West Ham v
Cardiff na Everton v Fulham.
Mechi hiyo ya Man United v Liverpool
huenda ikawa ndio Mechi ya kwanza ya Luis Suarez baada ya kumaliza
Kifungo chake cha Mechi 10 kwa kumng’ata Branisla Ivanovic wa Chelsea
kwenye Mechi.
DROO YA RAUNDI YA 3
[Mechi kuchezwa Septemba 24 na 25]
Man Utd v Liverpool
Sunderland v Peterborough
West Ham v Cardiff
Man City v Wigan
Burnley v Nottingham Forest
Newcastle v Leeds
Southampton v Bristol City
West Brom v Arsenal
Swindon v Chelsea
Tranmere v Stoke
Watford v Norwich
Aston Villa v Tottenham
Hull v Huddersfield
Leicester v Derby
Birmingham v Swansea
Fulham v Everton
Sunderland v Peterborough
West Ham v Cardiff
Man City v Wigan
Burnley v Nottingham Forest
Newcastle v Leeds
Southampton v Bristol City
West Brom v Arsenal
Swindon v Chelsea
Tranmere v Stoke
Watford v Norwich
Aston Villa v Tottenham
Hull v Huddersfield
Leicester v Derby
Birmingham v Swansea
Fulham v Everton
No comments:
Post a Comment