
Wachezaji wote pande mbili wakimsikiliza kiongozi mgeni Rasmi tayari kuanza mtanange

Wachezaji wakisalimiana

Kikosi kilichoanza cha Kagera Sugar

Kikosi cha Coastal

Waamuzi wa mtanange huu

Timu Kapteini na waamuzi wakijuzana kuhusu uelekeo wa kila timu muda mchache kabla ya mchezo

Benchi la Kagera Sugar

Benchi la Coastal Union kutoka Tanga

Lango la Coastal liliandamwa sana kipindi cha pili

Viongozi wa Kagera wakifurahia jambo kipindi cha pili

Lango la Coastal kama kawa kipindi cha pili ....mpaka bao lipatikane

Mashabiki walijionea movie hilo mchana kweupe!!! wakajisahau

Wakati mpira unaendelea njemba mbili zilikuwa zinapimana nguvu mbele ya mashabiki...cheki...ilikuwa kwamba wamekeana dau kuwa waanze wao kuumizana ili bao lipatikane.www.bukobasports.com

Mashabiki wakifurahia njemba hizo!!!

Mashabiki wa Ukweli wakiangalia kama kagera itawasimamisha kwa furaha kwenye baiskeli zao kila mmoja akisikitika!!
Coastal Union wamepoteza mchezo mwingine dhidi ya Kagera Sugar ya mjini Kagera, lilikuwa ni bao la mkwaju wa penati lililotiwa kimiani na Salum Kanoni dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya beki wa Coastal Union kuunawa mpira eneo la hatari. na bukobasports.com

Wachezaji wa Kagera wakimpongeza Salum Kanoni kwa kufunga penati hiyo iliyozaa bao la pekee

Refa kushoto akichukua maelezo baada ya Kagera kupata bao dakika ya 58

Mchezaji wa Kagera Godfrey wambura aliumia nakutolewa nje dakika za mwishoni
No comments:
Post a Comment