BUKOBA SPORTS

Wednesday, December 18, 2013

CAPITAL ONE CUP: STOKE CITY 0 v MANCHESTER UNITED 2, VIJANA WA UNITED WAITUPA NJE STOKE KWA BAO MBILI ZA ASHLEY YOUNG NA EVRA!!

Ashley Young akishangilia bao lake....
**Mpira ulistishwa kwa muda baada ya kutokea upepo mkali na hali ya hewa mbaya huku mabarafu yakianguka hali iliyomfanya mwamuzi kusimaisha mpira kwa dakika chache kama 10 kwenye uwanja wa Stoke City Britannia Stadium.**Laying it on with a towel: Patrice Evra tries to shield himself from the elements
Patrice Evraakijikinga na kutoka uwanjani
Protection: The towel on Evra's head won't have been much use against the torrential rain
Wakiteta juu ya hali ya hewa....
Run for cover: United players leave the pitch during the stormWachezaji wa United wakisepa uwanjani kwa muda...
Kipindi cha kwanza kilimalizika wakiwa nguvu sawa ya bila kufungana. Ndipo kipindi cha pili United wakafanya mabadiliko Anderson akatoka na nafasi yake ikachukuliwa na Chicharito na mpira ukabadilika kwa upande wa United mashambulizi yakazidi.
Kipindi cha pili dakika ya 62 Ashley Young akaachia shuti kali lililomshida kudaka kipa wa Stoke Thomas Sorensen na kuzama hadi ndani ya nyavu za Stoke City.
Bao la pili kwa United limefungwa na Evra dakika ya 78 baada ya kupewa pasi na Young na hatimaye Evra kupaisha kwa juu mpira na kumfunga kipa wa Stoke kiulaini. Manchester leo wamecheza bila nyota wao Wayne Rooney na mastaa wengine!Kipa wa United David De Gea akipagawa kwenye lango lake baada ya upepo na hali ya hewa kuwa mbaya kwa muda alivyokuwa anaonekana.Kipa wa Stoke ndio usiseme!! mwangalie.. Thomas SorensenMpira ulilazimika kusimama kama dakika 10, wachezaji wa Stoke City wakitoka uwanjani kwa muda baada ya hali ya hewa kuchafuka..
RATIBA
ROBO FAINALI  

Jumatano Desema 18
Stoke 0 v Man United 2

Tottenham 1 v West Ham 2

No comments:

Post a Comment