BUKOBA SPORTS

Thursday, December 19, 2013

CAPITAL ONE CUP: TOTTENHAM HOTSPURS 1 v WEST HAM UNITED 2, MATTHEW JARVIS NA MODIBO MAIGA WAIFUNGA SPURS NA KUITUPA NJE!! TIM SHERWOOD AANZA SIKU VIBAYA!

Kocha wa muda wa Spurs Tim Sherwood ambaye pia ameisimamia timu hii kwa mara ya kwanza Spurs wakicheza usiku huu na West Ham United.
Kocha wa muda Tim Sherwood alipofika uwanjani na kocha mwenzake Chris Ramsey kushoto

Kipindi cha pili dakika ya 67 Emmanuel Adebayor akawapatia bao Spurs.
Ndani ya dakika 5 za kipindi cha pili na dakika za lala salama West Ham wakasawazisha na kuwaongezea tena bao Spurs, Bao zikifungwa dakika ya 80 na Matthew Jarvis na dakika ya 85 mfungaji ni Modibo Maíga.
In the stands: Tottenham chairman Daniel Levy (centre) keeps an eye on proceedings at White Hart Lane
Mwenyekiti wa Tottenham chairman Daniel Levy (katikati) White Hart Lane akijionea kibano kingine tena kwenye uwanja wao
Maiga akishangilia baada ya kuimaliza Spurs kwa kufunga bao la piliPatashika kwenye lango la Spurs!!
Wachezaji wawili wa West Ham wakimkaba mchezaji wa SpursAdebayor hoi chini!!!

RATIBA
ROBO FAINALI

Jumatano Desema 18

Stoke 0 v Man United 2
Tottenham 0 v West Ham 2

No comments:

Post a Comment