BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 1, 2014

ENGLISH PREMIER LEAGUE: MANCHESTER UNITED 1 v TOTTENHAM HOTSPURS 2, ADEMAYOR NA ERIKSEN WAWASHIKISHA ADABU UNITED KWAO OLD TRAFFORD!! DAVID MOYES SASA NI NDOTO KULILIA UBINGWA!!

Bao za Spurs zimefungwa kipindi cha kwanza na cha pili, Emmanuel Adebayor akifunga bao la kwanza katika kipindi cha kwanza katika dakika ya 34 huku  Christian Eriksen akiwamaliza bao la pili katika dakika ya  66, United wamepata bao lao moja katika dakika ya 67 dakika moja baada ya kufungwa bao la pili na Spurs. Likifungwa na Danny Welbeck. Ushindi huu wa Spurs unawaweka katika nafasi ya 6 kwenye msimamo huku United wakishuka chini katika nafasi ya 7. Li hii imebaki ikishikiliwa na Arsenal kileleni wakiwa na alama 45 pointi 11 nyuma ya United.
In form: Adebayor (left) has scored four goals in five games since Tim Sherwood took over as manager
Adebayor akipongezwa na wenzake baada ya kuifunga bao United, huku Spurs ikiongozwa kocha aliyeshikilia nafasi hiyo Tim Sherwood na ikiwa ni ushindi mfululizo kwa kocha huyo tangu achukue timu.
Doubling up: Eriksen's header leaves De Gea stranded at Old Trafford as Tottenham edge further in front
Eriksen akimfunga kipa wa United  De Gea huko Old Trafford
Down and out? Manchester United prepare to take kick off after conceding the second goal
Manchester United wakitaka kuanzisha mpira baada ya kufungwa bao la pili na kuondoa matumaini yao ya kuendeleza ushindi.
Jonny Evans na Etienne Capoue wakichuana kuugombea mpira hapaHugo Lloris kwenye patashika na Danny WelbeckRooney akipiga frii kikiTim Sherwood akiangalia vijana wake kama watamtoa tena Mzee Fergie nae alikuwepo Old TraffordEmmanuel Adebayor akifunga bao la kwanza kwa SpursWachezaji wa United hoi...... baada ya kufungwa bao...Adebayor akishangilia bao lake katika dakika ya 34Bosi wa United (kushoto) mambo magumu!!!Welbeck akionekana kujitahidi hapa...lakini wapi!!
Vlad Chiriche akiondosha mpiraChristian Eriksen akifunga bao la pili na kufanya 2-0 Spurs wakipongezanaDakika moja tu kupita Danny Welbeck akarudisha moja
Lakini United pamoja na kujaribu kurudisha bao ili kusawazisha mambo hayakuwezekana tena!
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Smalling (Kagawa 61), Vidic, Evans, Evra, Carrick (Hernandez 61), Cleverley (Young 84), Valencia, Rooney, Januzaj, Welbeck.
Subs not used: Ferdinand, Lindegaard, Fletcher, Buttner.
Goal: Welbeck 67
Booked: Rooney
Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Chiriches, Rose, Lennon, Capoue (Bentaleb 64), Dembele, Eriksen, Adebayor (Chadli 70), Soldado (Kane 75).
Subs not used: Lamela, Naughton, Friedel, Fryers.
Booked: Dembele.
Goals: Adebayor 34, Eriksen 66.
Referee: Howard Webb


MSIMAMO ULIVYOBAKI KWA SASA.

2013-2014 Barclays Premier League Table
Overall
Home
Away
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Arsenal 20 14 3 3 39 18
7 2 1 18 6
7 1 2 21 12
21 45
2 Manchester City 20 14 2 4 57 23
10 0 0 38 6
4 2 4 19 17
34 44
3 Chelsea 20 13 4 3 38 19
9 1 0 22 8
4 3 3 16 11
19 43
4 Liverpool 20 12 3 5 46 23
9 0 1 27 6
3 3 4 19 17
23 39
5 Everton 20 10 8 2 32 19
6 3 1 19 9
4 5 1 13 10
13 38
6 Tottenham Hotspur 20 11 4 5 24 25
4 3 3 11 13
7 1 2 13 12
-1 37
7 Manchester United 20 10 4 6 33 24
4 2 4 12 10
6 2 2 21 14
9 34
8 Newcastle United 20 10 3 7 29 25
5 3 2 17 10
5 0 5 12 15
4 33
9 Southampton 20 7 6 7 26 23
4 3 3 16 12
3 3 4 10 11
3 27
10 Hull City 20 6 5 9 22 25
5 3 2 15 6
1 2 7 7 19
-3 23
11 Aston Villa 20 6 5 9 19 25
2 2 6 7 14
4 3 3 12 11
-6 23
12 Stoke City 20 5 7 8 19 30
4 5 1 11 7
1 2 7 8 23
-11 22
13 Swansea City 20 5 6 9 26 28
2 4 4 18 17
3 2 5 8 11
-2 21
14 West Bromwich Albion 20 4 9 7 23 27
3 3 4 12 12
1 6 3 11 15
-4 21
15 Norwich City 20 5 5 10 17 33
3 3 4 10 11
2 2 6 7 22
-16 20
16 Fulham 20 6 1 13 21 42
3 1 6 13 18
3 0 7 8 24
-21 19
17 Cardiff City 20 4 6 10 15 32
3 3 4 10 15
1 3 6 5 17
-17 18
18 Crystal Palace 20 5 2 13 13 29
3 2 5 8 14
2 0 8 5 15
-16 17
19 West Ham United 20 3 6 11 19 30
2 3 5 12 16
1 3 6 7 14
-11 15
20 Sunderland 20 3 5 12 15 33
2 1 7 10 17
1 4 5 5 16
-18 14

No comments:

Post a Comment