BUKOBA SPORTS

Wednesday, January 1, 2014

ARSENAL 2 v CARDIFF CITY 0, THEO WALCOTT NA BENDTNER WAISOGEZA TENA KILELENI GUNNERS LEO KATIKA DAKIKA ZA MAJERUHI, CITY WAKIWANYATIA KWA KARIBU!

Mabao ya Arsenal yamefungwa katika dakika za mwishoni mwa kipindi cha pili yakifungwa na Theo Walcott katika dakika ya 90' +2' na bao la kwanza likifungwa na Nicklas Bendtner katika dakika ya 88.
Ole Gunnar Solskjaer na Vincent Tan wakitazama kabumbu ugeniniMashabiki wa Arsenal na ujumbe wao mkononi!!!Jack Wilshere na Gary Medel wakichuana vikali hapa...Wilshere tena.........
Nicklas Bendtner akifunga bao lake na kufanya 1-0Bendtner akiwamaliza CardiffTheo Walcott akifunga bao la pili na kufanya 2-0 dhihi ya Cardiff City iliyokuwa ugenini leo Emirates.

No comments:

Post a Comment