
Saido Berahino akishangilia bao kwa timu yake West Brom likiwa ni bao pekee kwenye huu mtanange kati yao na Newcastle United. Goli lililofungwa kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 87.

Morgan Amalfitano kwenye patashika kuutafuta mpira...

Mathieu Debuchy akipewa kadi nyekundu na kuondoshwa nje...
No comments:
Post a Comment