BUKOBA SPORTS

Sunday, March 2, 2014

ASTON VILLA 4 v NORWICH 1, BENTEKE KARUDI HEWANI SASA.....AONGOZA MASHAMBULIZI NA KUFUNGA BAO MBILI


Ligi kuu England  imeendelea tena leo kwa Mechi 3 na huko ASTON VILLA ikiifunga bao 4 kwa 1 timu ya NORWICH, Bao za Aston Villa zimefungwa kipndi cha kwanza. Christian Benteke akifunga bao mbili dakika ya 25 na 27, Bao la tatu likifungwa na Bacuna katika dakika ya 37 na bao la nne wakijifunga kupitia mchezaji wao Bassong Nguena katika dakika ya 41. 
Norwich wao bao lao la pekee 1limefungwa na Hoolahan katika dakika ya tatu ya mchezo.Benteke akishangilia moja ya bao lakeBalaa langoni mwa Norwich!
Benteke karudi sasa akifunga bao mbili leo na timu yake kuibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Norwich

Straika wa Villa, Benteke akishangilia leo
VIKOSI:
ASTON VILLA (4-3-3): Guzan 6.5; Bacuna 7, Vlaar 6, Baker 6, Bertrand 6.5; Westwood 6.5, Delph 7, El Ahmadi 6; Weimann 6 (Albrighton 82), Benteke 7.5 (Holt 82’), Agbonlahor 7
Subs not used: Jed Steer, Bennett, Clark, Sylla, Robinson
Manager: Paul Lambert 7
Goals: Benteke 25′, 27, Bacuna 37, Bassong, Nguena 41 (og)
NORWICH (4-2-3-1): Ruddy 6; Martin 5, Yobo 5, Bassong 5, Olsson 5; Tettey 6 (Howson 80’), Johnson 6; Snodgrass 5 (Pilkington 46’), Hoolahan 6.5, Redmond 6 (Elmander 63’); Hooper 6.5 Subs not used: Bunn Whittaker, Becchio, Bennett
Booked: Tettey, Snodgrass, Elmander
Manager: Chris Hughton 6
Goal: Hoolahan 3
Ref: Anthony Taylor 7
MoM: Benteke

No comments:

Post a Comment