Bao la Dakika ya 28 la Roberto Soldaso, baada ya kazi nzuri ya Adebayor, limewapa Tottenham ushindi wa Bao 1-0 walipocheza na Cardiff City.
Wachezaji wa Tottenham wakipongezana
Michael Dawson kwenye kuutafuta mpira na Kim Bo-Kyung
Aaron Lennon akichuana na Gary Medel
Townsend kwenye patashika na mchezaji wa mkopo wa Manchester United Fabio Da Silva
No comments:
Post a Comment