BUKOBA SPORTS

Saturday, March 8, 2014

CARDIFF 3 v FULHAM 1, FULHAM WAZIDI KUPOTELEA MKIANI!!! Ole Gunnar Solskjaer AFURAHIA KICHAPO HICHO NYUMBANI!!

Cardiff City wameinyuka Fulham Bao 3-1 na kuzidi kuididimiza Timu hiyo ya mkiani.
Steven Caulker aliipa Cardiff Bao la Kwanza na Fulham kusawazisha kwa Bao la Lewis Holtby lakini Caulker akafunga Bao la Pili na Sascha Riether kujifunga mwenyewe na kuipa Cardiff ushindi muhimu.
Vincent Tan akisalimia mashabiki leoLewis Holtby akishangilia baada ya kusawazisha kwa kufanya 1-1Kilichofata ni kipigo tuu kwa Fulham 2-13-1 Sascha Riether akitupia.. kwa kujifunga mwenyewe hapa!!

No comments:

Post a Comment