Eden Hazard akishangilia bao lake la mkwaju wa penati katika dsakika ya 60 kipindi cha pili baada ya Eto'o kuangushwa ndani ya 18 (ndani ya box) eneo hatari..
Eti Mimi ni Mzee siwezi kuichezea Chelsea!!! Ushindi huo Babaa!!! ishara ya kumkejeli Meneja wake Jose Mourinho ambae wiki iliyopita alirekodiwa akisema hajui Umri wa Eto’o na hilo kuibua utata kuhusu Umri wa Straika huyo toka Cameroun.
Kipindi cha pili dakika ya 56 Samwel Eto'o aliipatia bao safi baada ya kuwachomoka mabeki wa Spurs na kumfunga kipa wa Spurs. Dakika ya 60 mchezaji huyo huyo Eto'o ameangushwa kwa kufanyiwa rafu mbaya na Mchezaji wa Spurs Kaboul na mwamuzi wa mtanange huo Michael Oliver kumtoa kwa kadi nyekundu na mkwaju wa penati kutengwa kwenda lango la Spurs. Dakika za mwishoni dakika ya 88 na dakika ya 89 Demba Ba ameifungia timu yake Chelsea bao mbili za haraka!
Kipindi cha kwanza kilimalizika 0-0
Samuel Eto'o akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza kwa timu yake Chelsea..
VIKOSI:
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Lampard (Oscar 46), Matic, Ramires, Hazard, Schurrle, Eto'o.
Subs: Mikel, Ba, Willian, Schwarzer, Kalas, Salah.
Booked: Lampard.
Goal: Eto'o 56, Hazard pen 60.
Tottenham: Lloris, Naughton, Dawson, Kaboul, Vertonghen, Sandro, Bentaleb, Walker, Sigurdsson (Paulinho 61), Lennon, Adebayor.
Subs: Soldado, Townsend, Chadli, Friedel, Fryers, Kane.
Booked: Bentaleb, Naughton, Sandro.
Sent off: Kaboul.
Referee: Michael Oliver
No comments:
Post a Comment