Daniel Sturridge akishangilia bao lake la kichwa katika dakika ya 82. Baada ya kupata krosi safi kutoka kwa kiungo mkabaji anayecheza kwenye klabu ya Southampton. Chezea Daniel wewe!!!Hapa ukatizi!Kikosi cha EnglandTaswira..z
Daniel Sturridge ameipatia England Bao dakika ya 82 la kichwa baada ya kona kuanzishiana na kupata krosi safi kutoka kwa Adam David Lallana anayecheza soka lake kwenye klabu ya Southampton aliyeingia kipindi cha pili dakika ya 59 akichukua nafasi ya Jack Wilshere. Dalika ya 88 Daniel Sturridge anaondolewa nje na nafasi yake inachukuliwa na James Milner.
Kipindi cha kwanza kilimalizika 0-0
Mapema chupuchupu Rooney amfunge kipa wa Denmark Kasper
Nicklas Bendtner akikabwa vilivyo na wachezaji wa England...Ashley Cole kwenye patashika.Jack Wilshere akiwapanga wachezaji wa Denmark..

No comments:
Post a Comment