
Mchezaji wa Everton akishangilia bao lake

Leon Osman akichuana na Pajtim Kasami wa Fulham

Moussa Dembele kwenye ufundi zaidi hapa!!!

Kasami na Gareth Barry wakizuiana kushindania mpira..

Hapa hupiti ndugu yangu...bora tukose wote..

Kocha wa Everton Roberto Martinez akiwapa mkazo wachezaji wake. Hapa ni kupigana tuingie ndani ya top 4"
Nani zaidi!!!
Meneja wa England Roy Hodgson nae alikuwemo ndani ya Uwanja.
No comments:
Post a Comment