BUKOBA SPORTS

Sunday, March 30, 2014

FULL TIME: LIVERPOOL 4 v TOTTENHAM 0, MAJOGOO LIVERPOOL WALILIA UBINGWA MSIMU HUU WAIFANYIA KITU MBAYA SPURS NA KUPAA HADI KILELENI!


BAO la kwanza Spurs walijifunga wenyewe kupitia mchezaji wake Younes Kaboul mapema dakika ya 2, Dakika ya 25 Luis Suárez aliwaongezea bao Liverpool na kufanya 2-0 na kipindi cha kwanza kumalizika 2-0. Kipindi cha pili dakika ya 55 Philippe Coutinho aliwapachikia bao Liverpool nakufanya 3-0 na huku bao la mwisho la 4 likifungwa na Jordan Henderson katika dakika ya 75 na mpira kumalizika kwa bao 4-0 dhidi ya Spurs waliokuwa Ugenini Anfield kucheza na Majogoo Liverpool.Ushindi huu wa bao 4-0 unawapandisha Liverpool hadi nafasi ya kwanza Kileleni wakiwa na pointi 71 nyuma ya Chelsea wenye pointi 69 ambao pia walifungwa jana bao 1-0 na Crystal Palace. Liverpool sasa wamebakisha Mechi 6 kumaliza Ligi lakini mbili kati ya hizo ni Mechi ngumu mno dhidi ya Man City, hapo Aprili 13 na Chelsea Aprili 27 ingawa zote zipo Nyumbani kwao Anfield.Luis Suarez akifunga bao la pili na kufanya 2-0
Suarez akishangilia bao lake la pili
Bao la 29 kwa SuarezPhilippe Coutinho nae leo katupia

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
2013-2014 BARCLAYS PREMIER LEAGUE TABLE

OVERALLHOMEAWAY
POSTEAMPWDLFAWDLFAWDLFAGDPts
1Liverpool32225588391411481384440264971
2Chelsea3221656224142039974523153869
3Manchester City3021458028130148984432195267
4Arsenal32197656371051291092527271964
5Everton31179549311131291366420181860
6Tottenham Hotspur3217510404483519219252123-456
7Manchester United32166105238736221993430191454

No comments:

Post a Comment