BUKOBA SPORTS

Sunday, March 2, 2014

LA LIGA: ATLETICO MADRID 2 v REAL MADRID 2, CRISTIANO RONALDO AIOKOA TIMU YAO KUTOKA SARE LEO UGENINI!!

Bao la Real Madrid likifungwa na Karim Benzema mapema dakika ya tatu, Huku Atletico De Madrid wakiwa kwao Bao zao zimefungwa na Koke dakika ya 28 akisawazisha kwa kufanya 1-1 na bao la pili likifungwa dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza na Gabi katika dakika ya 45' +1.
Bao la Real la Kusawazisha limefungwa na Cristiano Ronaldo mwishoni mwa kipindi cha pili dakika ya 82 kwa kufanya 2-2.

Kipa wa Real Madrid Diego Lopez akiangalia shuti la Gabi linavyoishilia langoni mwake..

Gabi bao lake limewakutanisha hapa....wakipongeza!

Koke dakika ya 28 akitupia.........

Koke akishangilia bao lake
Benzema mapema alilwawasha Atletico dakika ya tatu tu...

Wachezaji wa Real wakishangilia..
Patashika kwa Atletico No 2 Muno Burgos baada ya Diego Costa kupewa kadi kwa kujitupa ndani ya 18

Meneja wa Atletico Diego Simeone akisaidia jahazi!!.
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
2013/2014 SPANISH PRIMERA DIVISIÓN TABLE

OVERALLHOMEAWAY
POSTEAMPWDLFAWDLFAWDLFAGDPts
1Real Madrid26204273261101391094134164764
2Atletico Madrid2619436121113043981318124061
3Barcelona2519337020110142983228115060
4Athletic Bilbao26155649301031331452516161950
5Villarreal2613584731743271661520151644
6Real Sociedad251276463583130844516271143
7Levante26998263155313104451321-536

No comments:

Post a Comment