BUKOBA SPORTS

Thursday, March 27, 2014

LA LIGA: FULL TIME - SEVILLA 2 v REAL MADRID 1, CARLOS BACCA AWATULIZA REAL, AWAPOLOMOSHA NAFASI YA TATU!! BALE NA RONALDO WASHINDWA KUIBEBA TIMU.

Real Madrid ndio walianza kupata bao dakika ya 14 kuptia kwa mshambuliaji wao matata Cristiano Ronaldo, Kisha Sevilla wakasawazisha bao hilo dakika ya 19 kupitia kwa Carlos Bacca.
Kipindi cha pili Dakika ya 72 Sevilla Fc wanapata bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Real Madrid, Bao likifungwa na Carlos Bacca baada ya kupata pasi ya kutanguliziwa na Ivan Rakitic.
Kipigo hiki cha Real kinawashusha hadi nafasi ya tatu wakiwa na pointi zao 70, Nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Atletico de Madrid wenye pointi 73 baada ya kuitungua usiku huu bao 1-0 timu ya Granada CF. Mapema Barcelona Waliinyuka bao 3-0 timu ya Celta Vigo, Bao za Barca zilifungwa na Neymar mbili na moja Lionel Messi.Ronaldo na Stephane M'Bia kwenye patashika iliyokuwa iwaache meno nje!

RATIBA/MATOKEO
Jumatano Machi 26

Barcelona 3 v Celta de Vigo 0
Rayo Vallecano 1 v Osasuna 0
Atletico de Madrid 1 v Granada CF 0
Sevilla FC  2 v Real Madrid 1

Alhamisi Machi 27 
22:00 Real Sociedad v Real Valladolid
22:00 Getafe CF v Villarreal CF
24:00 UD Almeria v Valencia
24:00 Levante v eal Betis


MSIMAMO TI U ZA JUU ULIVYO KWA SASA:
2013/2014 SPANISH PRIMERA DIVISIÓN TABLE

OVERALLHOMEAWAY
POSTEAMPWDLFAWDLFAWDLFAGDPts
1Atletico Madrid30234367211330459101322124673
2Barcelona30233488251401561093332156372
3Real Madrid302244813212024514104236184970
4Athletic Bilbao30168652321131341455518182056

No comments:

Post a Comment