BUKOBA SPORTS

Thursday, March 27, 2014

BARCELONA 3 v CELTA VIGO 0, LIONEL MESSI NA NEYMAR WAIRUDISHA BARCA KWENYE MBIO ZA UBINGWA..


Lionel Messi akishangilia bao lake baada ya kufanya 2-0 dhidi ya Celta Vigo

Messi akitupia bao katika dakika ya 30 kipindi cha kwanza
Bao mbili za Neymar za kipindi cha kwanza dakika ya 6 na moja la kindi cha pili dakika ya 67 na bao moja la Lionel Messi zimeipa ushindi Barcelona wa bao 3-0 dhidi ya timu ya Celta Vigo. Barcelona walikuwa kwao. Ushindi huu unawapandisha nafasi ya pili wakiwa na pointi 72.
Kipa Victor Valdes aliumia kipindi cha kwanza na amelazimika kutolewa nje kwa matibabu huku nafasi yake ikichukuliwa na Jose Manuel Pinto
Neymar akishangilia bao lake la kipindi cha pili dakika ya 67 dhidi ya Celta Vigo
Neymar akipeta zake, Kwenye mtanange huu kafunga bao mbili

No comments:

Post a Comment