BUKOBA SPORTS

Wednesday, March 26, 2014

LA LIGA: RATIBA, LEO UWANJANI!!! VINARA ATLETICO MADRID, REAL MADRID, BARCELONA UWANJANI KUSAKA POINTI 3 MUHIMU!!! ATAKAYE TELEZA IMEKULA KWAKE!!

Vinara wa La Liga, Atletico Madrid na Real Madrid, wanaofungana kwa Pointi, wakifuatiwa Pointi 1 nyuma na Mabingwa Watetezi Barcelona, Usiku huu wanaanza zile mbio za mwisho kuelekea Ubingwa huku kila Timu ikiwa imebakisha Mechi 9.
Atletico MadridReal MadridBarcelona

RATIBA

Jumatano Machi 26

22:00 FC Barcelona v Celta de Vigo
22:00 Rayo Vallecano v Osasuna
24:00 Atletico de Madrid v Granada CF
24:00 Sevilla FC v Real Madrid CF


Alhamisi Machi 27 
22:00 Real Sociedad v Real Valladolid
22:00 Getafe CF v Villarreal CF
24:00 UD Almeria v Valencia
24:00 Levante v eal Betis



MSIMAMO ULIVYO TIMU ZA JUU:
2013/2014 Spanish Primera División Table
Overall
Home
Away
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Atletico Madrid 29 22 4 3 66 21
12 3 0 44 9
10 1 3 22 12
45 70
2 Real Madrid 29 22 4 3 80 30
12 0 2 45 14
10 4 1 35 16
50 70
3 Barcelona 29 22 3 4 85 25
13 0 1 53 10
9 3 3 32 15
60 69
4 Athletic Bilbao 30 16 8 6 52 32
11 3 1 34 14
5 5 5 18 18
20 56
5 Sevilla FC 29 13 8 8 53 44
7 3 4 27 18
6 5 4 26 26
9 47
6 Real Sociedad 29 13 7 9 52 43
9 3 2 33 11
4 4 7 19 32
9 46
7 Villarreal 29 13 6 10 49 36
7 5 3 28 17
6 1 7 21 19
13 45

No comments:

Post a Comment