
Kikosi cha Young Africans
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Jerson Tegete - 10
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Emmanuel Okwi - 25
Subs:
1. Barthez, 2.Luhende, 3.Chuji, 4.Niyonzima, 5.Javu, 6.Kizza, 7.Didier
*Mpira umeishaanza, Kipindi cha kwanza dakika ya 10 kwa sasa bado ni 0-0
* Dakika ya 15 kipindi cha kwanza bado ni 0-0.
*Dakik ya 21 Emmanuel Okwi anaipachikia bao Yanga, Kwa shuti kali baada ya kutokea adhabu nje kido na eneo la box na hatimaye Okwi kuachia shuti kali la chini na kumzidi kipa wa Tanzania Prisons.
-Dakika ya 27, Yanga 1 v Tanzania Prisons 0
Dakika ya 34 Tanzania Prisons wanapata penati....Nadir anapewa kadi ya Njano!
Tanzania Prisons wanakosa penati....
-Tanzania Prisons watajutia sana penati hii...Baada ya mpiga penati kupaisha mpira huo juu ya lango ya timu y Yanga.
-Dakik ya 38 Yanga wanapata bao la pili na kufanya 2-0 kupitia kwa mrisho Ngasa baada ya kupata krosi safi kama kona...bao ni 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons.
-Dakika ya 44 kipindi cha kwanza Yanga wnaongoza bao 2-0...
-Yanga wanafanya mashambulizi mawili ya hatari sana lakini wanakosa mabao!!
Zinaongezwadakika 2 za nyongeza..
Mpira ni mapumziko Yanga wanaongoza bao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons...
- Kipindi cha pili kimeanza.....
Dakika ya 56 Emmauel Okwi anaumia na kutolewa nje..
-Dakika ya 61, Yanga 2 v Tanzania prisons 0...
Kutoka Tanga Azam Fc wanaongoza bao 1-0 dhidi ya Mgambo JKT
*Kipindi cha pili dakika ya 68 Khamis Kiiza anaiongezea bao Yanga na kufanya 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons.
* Kutoka Tanga, Dakika ya 80 Azam Fc 1 V Mgambo JKT 0
*Dakika ya 76 Yanga wnapata penati...
Gooooooo....Yanga wanapata bao la nne kupitia kwa Nadir Haroub "cannavaro"
-Kutoka Tanga Azam Fc 2 -0 dhidi ya Mgambo JKT
*Dakika ya 89 Yanga wanapata bao jingine la tano na kutimiza bao 5-0 dhidi ya Tanzania Prisons, Likifungwa na Kiiza.
Dakika za nyongeza 4 zimeongezwa!
FULL TIME....YANGA 5 v TNZANIA PRISONS 0.
No comments:
Post a Comment